SHARUBATI KWAAJILI YA SHINIKIZO LA JUU LA DAMU
MCHANGANYIKO WA KIAZI SUKARI (BEETROOT) NYANYA, FIGIRI NA ILIKI Wakati uliopita tuliona mchanganyiko mzuri wa ndizi, karibu tena tuangazie mchanganyiko mwingine ambao unaweza kuutengeneza kwa urahisi na kupata manufaa zaidi. Leo tutaangazia mchanganyiko wa kiazisukari, nyanya, figiri na iliki. Mchanganyiko huu sio tu kwamba unafaa kwa afya ya moyo lakini pia unafaa kwa afya ya …