SHARUBATI KWAAJILI YA SHINIKIZO LA JUU LA DAMU

MCHANGANYIKO WA KIAZI SUKARI (BEETROOT) NYANYA, FIGIRI NA ILIKI Wakati uliopita tuliona mchanganyiko mzuri wa ndizi, karibu tena tuangazie mchanganyiko mwingine ambao unaweza kuutengeneza kwa urahisi na kupata manufaa zaidi. Leo tutaangazia mchanganyiko wa kiazisukari, nyanya, figiri na iliki. Mchanganyiko huu sio tu kwamba unafaa kwa afya ya moyo lakini pia unafaa kwa afya ya …

SHARUBATI KWAAJILI YA SHINIKIZO LA JUU LA DAMU Read More »

JE UNAFAHAMU VYAKULA UNAVYOHITAJI KUVITUMIA ILI KUJIKINGA NA SHINIKIZO LA SHINIKIZO LA JUU LA DAMU (HYPERTENSION)

Watu wengi wamekuwa wakijiuliza kwanini shinikizo la juu la damu limekuwa likiwakumba watu wengi, maradhi haya zaidi yanatokana na mtindo wa maisha namna tunavyokula na jinsi tunavyokunywa. Hapa nitakupatia baadhi ya vyakula ambavyo utavitumia ambavyo ni rahisi kupatikana kwa wingi katika mazingira na masoko yetu Je ni vya kula vipi utumie? Ili moyo uwe imara …

JE UNAFAHAMU VYAKULA UNAVYOHITAJI KUVITUMIA ILI KUJIKINGA NA SHINIKIZO LA SHINIKIZO LA JUU LA DAMU (HYPERTENSION) Read More »

 - 
English
 - 
en
French
 - 
fr
German
 - 
de
Portuguese
 - 
pt
Russian
 - 
ru
Spanish
 - 
es
Swahili
 - 
sw
swSwahili